Aina za Ukaguzi
Viwango vya Ukaguzi
Madhumuni ya Ukaguzi
Ukaguzi wa elimu unalenga kufuatilia na kutathmini ubora wa utoaji wa elimu katika shule na taasisi za elimu. Hii inajumuisha kuhakikisha kuwa sera, mitaala, na viwango vilivyowekwa vinafuatwa, pamoja na kutoa mapendekezo ya maboresho kwa maendeleo ya sekta ya elimu..
Ofisi Zetu
| Ofisi za Ukaguzi Kimikoa | |
|---|---|
| Mkoa | Eneo |
| Ofisi ya Ukaguzi Mkoa Kusini Pemba. | Chake Chake |
| Ofisi ya Ukaguzi Mkoa wa Kaskazini Pemba. | Miti Ulaya |
| Ofisi ya Ukaguzi Mkoa Kusini Unguja. | Kidimni |
| Ofisi ya Ukaguzi Mkoa wa Kaskazini Unguja. | Mkwajuni. |
| Ofisi ya Ukaguzi Mkoa wa Mjini Magharibi. | Mwembeladu. |
Wadau Wetu
- Skuli zote za Maandalizi Serikali na Binafsi.
- Skuli zote za Msingi Serikali na Binafsi.
- Skuli zote za Sekondari Serikali na Binafsi
- Vituo vya Elimu Mbadala na Watu Wazima
- Vyuo vyote vya Kati vya Uwalimu Serikali na Binafsi